Kenya na mkopo mpya kutoka shirika la fedha diniani IMF

Sauti 09:32
Nembo ya shirika la fedha duniani IMF
Nembo ya shirika la fedha duniani IMF SAUL LOEB AFP/File

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia hatua ya nchi ya Kenya kwenda kuomba mkopo zaidi kutoka shirika la fedha duniani IMF. Hatua ambayo imesababisha wananchi kuhoji kuhusu nchi yao kuendelea kukopa.Mtayarishaji wa makala haya amezungumza na Bennedict Mahona, mtaalamu wa masuala ya uchumi na fedha akiwa Dar es Salaam, Tanzania.