Gurudumu la Uchumi

Je, ziara ya Rais wa Tanzania nchini Kenya, itapunguza mivutano ya kibiashara

Sauti 09:44
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiteta jambo na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, wakati walipokutana na wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania jijini Nairobi. 05 / 05 / 2021.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiteta jambo na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, wakati walipokutana na wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania jijini Nairobi. 05 / 05 / 2021. © StatehouseKenya

Msikilizaji juma hili rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya ziara nchini Kenya na kukutana na mwenyeji wake rais Uhuru Kenyatta, ziara yake imekuja wakati huu nchi hizo mbili zikiendelea na jitihada za kuondoa vikwazo vya kibiashara kwenye maeneo ya miapaka yao, vikwazo ambayo mara kadhaa vimesababisha mataifa haya mawili kuvutana.

Matangazo ya kibiashara

Utamsikia Profesa Wetengere Kitojo, mtaalamu wa masuala ya diplomasia na uchumi, pamoja na Haji Kaburu, mchambuzi wa masuala ya siasa, wote wakiwa nchini Tanzania, kuzungumzia kwa kina ziara ya Rais Samia Suluhu nchini Kenya.