Fursa ya Kilimo Biashara

Sauti 10:02
Bwisulo Chakutema, mkurugenzi wa taasisi ya Mkulima Makini, inaosaidia kutoa elimu na maarifa kuhusu kilimo na ufugaji.
Bwisulo Chakutema, mkurugenzi wa taasisi ya Mkulima Makini, inaosaidia kutoa elimu na maarifa kuhusu kilimo na ufugaji. ©

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inaangazia namna bora ya kufanya kilimo chenye tija ambacho kitamsaidia mkulima na nchi za Afrika Mashariki kiuchumi.