Kuwa mwanamke si kikwazo cha kufanya kazi tofauti

Sauti 10:05
Mmoja ya wanawake madereva wa Matatu jijini Nairobi nchini Kenya, ambao wanasaidiwa na shirika la Flone Initiative, akiwa katika mafunzo. Novemba 11, 2020
Mmoja ya wanawake madereva wa Matatu jijini Nairobi nchini Kenya, ambao wanasaidiwa na shirika la Flone Initiative, akiwa katika mafunzo. Novemba 11, 2020 © Flone Initiative

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili, imezungumza na wanawake wawili kati ya wengi nchini Kenya, ambao wanafanya kazi katika huduma za usafiri wa uma, tutakuwa na Easter Wanjiru, ambae ni dereva wa Matatu na Delvin Kirubo, anayefanya kazi kama Kondakta "Maarufu nchini Kenya kama Makanga".

Matangazo ya kibiashara

Kupitia shirika la Flone Initiative wanawake hawa wanapata msaada kujikwamua na kukabiliana na changamoto ya kazi yenyewe.