Gurudumu la Uchumi

Mjadala Kuhusu Jinsia na uwezeshaji

Sauti 10:08
Mjadala maalumu kuhusu Jinsia, ulioandaliwa na ubalozi wa Ufaransa kwa kushirikiana na Radio France Idhaa ya Kiswahili 25 05 2021
Mjadala maalumu kuhusu Jinsia, ulioandaliwa na ubalozi wa Ufaransa kwa kushirikiana na Radio France Idhaa ya Kiswahili 25 05 2021 © Emmanuel Makundi

Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili, inakuletea mjadala maalumu kuhusu Jinsia, mjadala ulioandaliwa na ubalozi wa Ufaransa na kurekodiwa katika studio za Idhaa ya Kiswahili ya Radio France International.