Gurudumu la Uchumi

Mchango wa asasi za kijamii kiuchumi

Sauti 10:00
Sehemu ya wanawake ambao wanasaidiwa na shirika la SHOFCO la nchini Kenya.
Sehemu ya wanawake ambao wanasaidiwa na shirika la SHOFCO la nchini Kenya. © SHOFCO

Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inaangazia mchango wa asasi za kiraia kwenye jamii na hasa kuziwezesha kiuchumi.