Gurudumu la Uchumi

Siku ya tozo ya Internet nchini Uganda na nchi wanachama

Sauti 09:53
Bunge la Uganda
Bunge la Uganda © Ronald Kabuubi/AP

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia tozo za matumizi ya mitandao kwenye nchi za Afrika Mashariki, hasa kwenye taifa la Uganda.