Mataifa ya Afrika nayo yaanza kupokea chanjo ya virusi vya Corona
Imechapishwa:
Sauti 10:09
Hii leo Makala Habari Rafiki, mtangazaji wako Ali Bilali amezungumza na wasilikizaji kutaka kujuwa hasa ni namna gani wamejiandaa kupokea chanjo ya virusi vya Corona ambayo tayari imeanza kutolewa katika mataifa kadhaa barani Afrika, ikiwemo Rwanda, Ghana, Senegal, Cote d'Ivoire, wakati Kenya ikitarajia kianza kutoa chanjo ijumaa hii pamoja na DRCongo.