Mbuga ya wanyama ya Virunga mashariki mwa DRC yavuna kiasi cha Dola za Marekani milioni 81
Imechapishwa:
Sauti 10:25
Makala haya tunazungumzia kuhusu taarifa kwamba Mbuga ya wanyama ya Virunga huko Mashariki mwa DRC imeingiza kiasi cha Dola za Marekani Milioni 81 mwaka 2020 katika zoezi la Utalii na kilimo vilioanzishwa na viongizo wa mbuga hiyo ya Kitaifa. Lakini hata hivyo kumekuwa na changamoto kubwa sana juu ya swala la Usalama katika mbunga hiyo ambapo wataalamu wanasema kiasi hicho kingelikuwa kikubwa zaidi.
Matangazo ya kibiashara
Usikosi kumfollow mtangazaji wako @billy_bilali