Habari RFI-Ki

Kenya yapiga marufuku uagizaji wa mahindi kutoka Uganda na Tanzania.

Sauti 10:01
Mahindi yakiwa kwenye magunia na mengine yakisubiri kufanyiwa kazi
Mahindi yakiwa kwenye magunia na mengine yakisubiri kufanyiwa kazi rfi hausa

Msikilizaji nchi ya Kenya imepiga marufuku ununuzi wa mahindi kutoka mataifa jirani ya Tanzania na Uganda. Swala hilo likiwa limeibua mzozo wa kibiashara ambao umekuwa ukishuhudiwa mara kwa mara katika nchi wanachamaJe nini kifanyike kusitisha migogoro hii ambayo inaendelea kuwaumiza wafanyibiashara ?Haya hapa baadhi ya maoni ya raia wa kanda ya Africa Mashariki.