Habari RFI-Ki

Waskilizaji wana maoni gani kuhusu Bobi Wine kuitisha maandamano Uganda?

Sauti 10:00
Bobi Wine da tawagarsa
Bobi Wine da tawagarsa SUMY SADURNI / AFP

Aliyekuwa mgombea urais nchini Uganda Robert Kygulanyi maarafu kama Bobi Wine ameitisha maandamano ya amani nchini humo, Kupinga kile anachosema ni wizi wa kura uliofanywa na tume ya uchaguzi.Je nini maoni yako kuhusiana na hatua hii, unahisi ni hatua sahihi kuchukuliwa na Bobi Wine ?