Habari RFI-Ki

Waskilizaji wana maoni gani kuhusu kuondolewa masharti ya Covid 19

Sauti 09:56
chanjo ya Covid 19
chanjo ya Covid 19 REUTERS - POOL

Ni mwaka moja tangu virusi vya corona kutangazwa kanda ya Africa Mashariki, je waskilizaji wana maoni gani   kuhusu kuondolewa kwa masharti ya kudhibiti Covid 19?skiza baadhi ya maoni.