Nini maoni yako kuhusu Patrice Motsepe kuwa rais mpya wa CAF ?

Sauti 10:04
Rais mpya wa CAF  Patrice Motsepe (Kulia ), akiwa na rais wa FIFA Gianni Infantino, (Katikati) wakati wa Mkutano Mkuu uliofanyika 12 Machi 2021 mjini Rabat.
Rais mpya wa CAF Patrice Motsepe (Kulia ), akiwa na rais wa FIFA Gianni Infantino, (Katikati) wakati wa Mkutano Mkuu uliofanyika 12 Machi 2021 mjini Rabat. AFP - FADEL SENNA

Leo kwenye Makala ya Habari Rafiki, tunakuuliza  nini matarajio yako kutoka kwa rais mpya wa CAF Patrice Motsepe ?