Nani atamaliza mwendelezo wa mauaji ya raia Mashariki mwa DRC ?

Sauti 10:03
Hasara iliyosababishwa na waasi wa ADF baada ya kutekeleza shambulizi wilayani Beni Mashariki mwa DRC katika siku za hivi karibuni
Hasara iliyosababishwa na waasi wa ADF baada ya kutekeleza shambulizi wilayani Beni Mashariki mwa DRC katika siku za hivi karibuni John WESSELS / AFP

Mashariki mwa DRC mauaji ya raia yanayodaiwa kutekelezwa na makundi ya waasi hasa Wilayani Beni bado yanaendelea, licha ya hakikisho la mara kwa mara  serikali ya nchi hiyo na jeshi la kulinda amani MONUSCO kuwa juhudi zinafanyika kuwalinda raia.Je, serikali ya DRC na MONUSCO zifanye nini zaidi kuwalinda raia kukomesha mauaji yanayoendelea ?