Habari RFI-Ki

Nini maoni ya waskilizaji kuhusu idadi ndogo inayojitokeza kupokea chanjo ya corona?

Sauti 09:53
raia akipokea chanjo ya virusi vya corona
raia akipokea chanjo ya virusi vya corona © AP/Jerome Delay

 Mataifa kadhaa ya Afrika mashariki yameanza kutoa chanjo dhidi ya virusi vya corona, japo raia wengi hawajajitokeza kupata chanjo hiyo.Nini kinachangia idadi ndogo ya wa ria kujitokeza?