Habari RFI-Ki

Afrika yaendelea kutumia chanjo ya AstraZeneca iliyositishwa na mataifa kadhaa barani Ulaya

Sauti 10:08
Raia wa Ivory Coast akipokea chanjo aina ya Astra Zeneca.
Raia wa Ivory Coast akipokea chanjo aina ya Astra Zeneca. © Peter Sassou Dogbé/RFI

Mataifa mbalimbali barani Afrika yanaendelea na kampeni ya kutoa chanjo aina ya AstraZeneca kwa raia wake, licha ya baadhi ya mataifa ya bara Ulaya kuisitisha  kufuatia ripoti kuwa inasababisha kuganda kwa damu.Hata hivyo, Shirika la afya duniani WHO inasema chanjo hiyo ni salama. Maoni yako ni yepi kuhusu hili ? Je, unahofu yoyote kuhusu chanjo hii ?