Wimbi la Siasa

Kifo cha rais wa Tanzania John Magufuli

Sauti 10:18
Aliyekuwa rais wa Tanzania Marehemu John Magufuli, wakati wa uongozi wake
Aliyekuwa rais wa Tanzania Marehemu John Magufuli, wakati wa uongozi wake AFP

Rais wa Tanzania John Magufuli amefariki dunia, baada ya kuugua ugonjwa wa moyo. Leo kwenye Makala haya, tunaangazia maisha ya Marehemu Magufuli.