Utamkumbuka vipi rais wa Tanzania John Magufuli ?
Imechapishwa:
Sauti 10:01
Tunakupa nafasi ya kumkumbuka rais wa Tanzania John Magufuli, aliyefariki dunia siku ya Jumatano Machi 17, 2021 baada ya ugonjwa wa moyo akiwa na umri wa miaka 61.