Mskilizaji ana maoni gani kuhusu Kenya kujiondoa katika kesi ya mpaka kati yake na Somalia?

Sauti 10:10
Rais wa Kenya kushoto akiwa na rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamoud  mjini Mogadishu
Rais wa Kenya kushoto akiwa na rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamoud mjini Mogadishu Government of Kenya

Serikali ya Kenya imejiondoa katika kesi ya mpaka wa baharini kati yake na  taifa la Somalia katika mahakama ya haki ya kimataifa ya ICJ, Kenya ikidai mahakama hiyo inapendelea somaliaNini maoni ya Msikilizaji ?