Habari RFI-Ki

Mskilizaji ana maoni gani kuhusu wanadoa kukosa kutoa haki ya ndoa?

Sauti 10:02
Picha ya mwanandoa akimvisha mwenzie pete.
Picha ya mwanandoa akimvisha mwenzie pete. POOL/AFP/File

Kule ufaransa mwanamke mwenye umri wa miaka 66 ameshtakiwa katika mahakama moja kwa kukosa kumtimizia mumewake tendo la ndoa...Wakili wake ameeleza kuwa mahakama haina haki kutoa uamuzi kama huo kwa kuwa tendo la ndoa sio la kulazimishwa.vile vile mahakama imesema kuwa bora alikua kwenye ndoa na mume wake basi tendo la ndoa ni lazima.wewe una maoni gani kuhusu tukio hilo?