Ufaransa ilifahamu mpango wa utekelezwaji wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda

Sauti 10:08
Plaácio do Eliseu, 26 de Março de 2021.
Plaácio do Eliseu, 26 de Março de 2021. AFP - LUDOVIC MARIN

Ripoti ya Tume ya wanahistoria nchini Ufaransa, imebaini kuwa nchi hiyo hiyo ilifumbia macho maandalizi ya mauaji ya kimbari yaliyotokea nchini Rwanda mwaka 1994 na hivyo inawajibika kwa kiasi fulani, lakini hakuna ushahidi kuwa walihusika katika mauaji hayo.Unazungumzia vipi, ripoti hii ?