Mkutano wa makabila kutoka Kivu Kusini jijini Kinshasa nchini DRC

Sauti 10:04
Kambi ya  Mugunga, mjini Goma, Mashariki mwa DRC
Kambi ya Mugunga, mjini Goma, Mashariki mwa DRC REUTERS/James Akena

Mazungumzo ya amani kati ya makabila ya watu wanaoishi katika maeneo ya Fizi, Uvira na Mwenga jimboni Kivu Kusini, yanafanyika jijini Kinshasa, kutafuta suluhus ya kusitisha migogoro ambayo imekuwa ikiendelea kati yao.Je, suluhu inaweza kupatikana ?