Hali ya utovu wa usalama mjini Palma nchini Msumbiji
Imechapishwa:
Sauti 10:07
Msumbiji inaendelea kukabiliwa na utovu wa salama katika mkoa wa Cabo Delgado unaopakana na Tanzania baada ya wanajihadi kuvamia mji wa Palma na kuwauwa wenyeji na wageni huku maelfu wakiyakimbia makwao.Tangu mwaka 2017 watu zaidi ya 2600 wengi raia wa kawaida wameuawa kutokana na mashambulizi yanayotekelezwa na wanajihadi.