Baadhi ya Wakenya wachoshwa na masharti mapya ya kupambana na Covid 19

Sauti 10:02
Mkenya akimsikiliza rais Uhuru Kenyatta akitanagza masharti mapya ya kufunga Kaunti tano kupambana na janga la Corona
Mkenya akimsikiliza rais Uhuru Kenyatta akitanagza masharti mapya ya kufunga Kaunti tano kupambana na janga la Corona © AFP - Simon Maina

Baadhi ya mashirika ya kiraia nchini Kenya, yanatishia kuitisha maandamano kulalamilkia masharti mapya ya kupambana na Covid 19 kwa kile wanachosema maisha yanaendelea kuwa magumu kufuatia kufungwa kwa maeneo yanayowapa kipato kama yale ya burudani wakati huu Kaunti tano likiwemo jiji kuu Nairobi,zikifungwa.Unafikiri serikali ya Kenya inapaswa kubadilisha maamuzi yake ?