Wakenya walalamikia hatua ya serikali yao kuomba mkopo
Imechapishwa:
Sauti 10:08
Baadhi ya raia wa Kenya,wameamua kutumia mitandao ya kijamii kuonesha gadhabu zao dhidi ya serikali kutokana na hatua yake ya kuomba mkopo mwingine wa zaidi ya dola bilioni 2 kutoka shirika la fedha duniani IMF. Hatua ya Kenya imekuja wakati huu ikiripoti ongezeko kubwa la deni la taifa katika historia ya taifa hilo. Unazungumziaje hatua ya nchi ya Kenya? Mkopo huu utasaidia kunusuru hali mbaya ya raia kiuchumi?