Miaka 27 tangu mauaji ya kimbari Rwanda 1994

Sauti 09:52
Rais wa Rwanda, Paul Kagame akiwa na mkewe, Jeanette Kagame, wakati wakiwasha mwenge wa maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari "Kwibuka" (Kukumbuka). Hapa ilikuwa April 7, 2020.
Rais wa Rwanda, Paul Kagame akiwa na mkewe, Jeanette Kagame, wakati wakiwasha mwenge wa maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari "Kwibuka" (Kukumbuka). Hapa ilikuwa April 7, 2020. REUTERS - JEAN BIZIMANA

Makala ya Habari Rafiki hivi leo wasikilizaji wanachangia kuhusu maadhimisho ya miaka 27 tangu kutokea kwa mauji ya Kimbari nchini Rwanda mwaka 1994.