Wakaazi wa Mashariki mwa DRC waandamana kutaka jeshi la MONUSCO kuondoka

Sauti 10:25
Wanajeshi la kulinda amani MONUSCO
Wanajeshi la kulinda amani MONUSCO MONUSCO/Force

Maandamano ya kashifu mauaji ya raia huko Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo yanaonekana kushika kasi wakati huu watu kadhaa wakiripotiwa kufariki.Unadhani jeshi la DRC na walinda usalama wa MUNSCO wameshindwa kabisa kuwalinda raia huko Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na unadhani ni wakati mwafaka wa MUNSCO kuondoka nchini DRC ?