Msikilizaji ana maoni gani kuhusu mimba za mapema kwa wasichana wadogo

Sauti 10:06
Mimba za mapema miongoni mwa wasichana wadogo
Mimba za mapema miongoni mwa wasichana wadogo AP - Ibrahim Mansur

Baadhi ya mataifa barani Afrika yamerekodi ongezeko la wasichana wadogo waliopata mimba za mapema katika kipindi hiki cha janga la corona.Maelfu ya wasichana hao sasa wameshindwa kurejea shuleni. Unadhani nini kimechangia hali kuwa mbaya zaidi? Jamii ina jukumu gani wakati kama huu? haya hapa baadhi ya maoni yenu