Habari RFI-Ki

Nini kifanyike kuzuia mzozo zaidi wa kisiasa nchini Somalia

Sauti 10:00
Wandamanaji wa upinzani nchini Somalia
Wandamanaji wa upinzani nchini Somalia AFP - -

Kwa majuma kadhaa mapigano yamekuwa yameripotiwa nchini Somalia kati ya wapiganaji wa upinzani wanaopinga kusalia madarakani kwa rais Mohamed Abdullahi Farmaajo baada ya bunge kumuongezea muda wa kuhudumu na wanajeshi wa Serikali.Je nini kifanyike kuzuia taifa hilo tumbukia katika mzozo zaidi wa kisiasa.Haya hapa baadhi ya maoni yenu.