Siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani
Imechapishwa:
Sauti 10:06
Dunia hivi leo inaadhimisha siku ya kimataifa ya "Uhuru wa Vyombo vya Habari", siku hii inaadhimishwa huku juma lililopita wanahabari wawili Raia wa Hispania wakiuawa nchini Burkina Faso. Barani Afrika wanahabari na wadau bado wanashuhudia Uhuru wa Vyombo vya Habari ukiendelea kuminywa kupitia sheria zinazotungwa.