Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan azuru Kenya

Sauti 09:58
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia kikao cha pamoja cha Wabunge wa Kenya na Maseneta huko Nairobi, Kenya, Mei 5, 2021.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia kikao cha pamoja cha Wabunge wa Kenya na Maseneta huko Nairobi, Kenya, Mei 5, 2021. REUTERS - MONICAH MWANGI

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anazuru Kenya kwa siku mbili, kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizo mbili. Nini maoni yako kuhusu ziara hii ?