Rais wa Sudan Kusini alivunja bunge

Sauti 10:00
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini Kushoto, na mpizani wake wa jadi, ambaye pia ni makamo rais wa kwanza Riek Machar kulia.
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini Kushoto, na mpizani wake wa jadi, ambaye pia ni makamo rais wa kwanza Riek Machar kulia. AFP/File

Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amelivunja  bunge la nchi hiyo, kwa kile kinachoelezwa ni kuteua bunge ambalo litajumuisha upinzani.Je? Unadhani hatua hii itasaidia katika kutekeleza mkataba wa amani nchini humo?Haya hapa baadhi ya maoni yako msikilizaji.