Una maoni gani kuhusu hukumu ya kifo

Sauti 09:52
Hukumu ya kifo
Hukumu ya kifo Foto: Death Penalty Focus

Mwishoni mwa juma lililopita mahakama nchini DRC imewahukumu kunyongwa hadi kufa watu 29 waliodaiwa kuhusika katika vurugu za ibada ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa ramadhani, ambapo polisi mmoja aliuawa na watu wengine kadhaa kujeruhiwa.Ni hukumu iliyoibua maswali na hisia mseto nchini humo.Wewe una mtazamo gani kuhusu hukumu hii? haya hapa baadhi ya maoni yako.