Sudan Kusini yaanza kuandika katiba mpya

Sauti 09:59
Rais  Salva Kiir (Kulia) akiwa na Makamu wake wa kwanza wa rais Riek Machar mwaka 2020
Rais Salva Kiir (Kulia) akiwa na Makamu wake wa kwanza wa rais Riek Machar mwaka 2020 ALEX MCBRIDE AFP

Sudan Kusini imeanza mchakato wa kurekebisha katiba ,ambayo iwapo raia wataridhia,itakuwa katiba ya kwanza tangu nchi hiyo kupata uhuru Julai 2011.Je unadhani ,katiba mpya itasaidia kuleta Amani ? Nini mchango wa taasisi za kiukanda katika mchakato huo ?