Ziara ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nchini Rwanda

Sauti 10:05
Rais wa Rwanda Paul Kagame, akiwa na  mgeni wake rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, 27 Mei  2021.
Rais wa Rwanda Paul Kagame, akiwa na mgeni wake rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, 27 Mei 2021. REUTERS - JEAN BIZIMANA

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anatarajiwa kuzuru Rwanda wiki hii, ziara inayolenga kuimarisha mahusiano ya mataifa hayo mawili katika masuala ya siasa na uchumi, baada ya mauaji ya kimbari mwaka 1994 ambayo Rwanda imekuwa ikiishtumu Ufaransa kushiriki.Nini maoni yako kuhusu ziara hii ?Je, itasaidia kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizo mbili ?