Wakaazi wa Goma mashariki mwa DRC waukimbia mji kufuatia volkano

Sauti 09:50
Une famille congolaise fuit la zone de Goma, sous la menace du volcan Nyiragongo, le 27 mai 2021.
Une famille congolaise fuit la zone de Goma, sous la menace du volcan Nyiragongo, le 27 mai 2021. REUTERS - STRINGER

Msikilizaji katika makala maalum ya Habari Rafiki ni kuhusu Goma mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, tuambie uko wapi na hali ikoje mahali uliko baada ya mlipuko wa mlima wa volkano Nyiragongo.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka, ili kusikiliza zaidi.Usisahau kutuma ujumbe wa sauti kwa namba ya WhatsApp +254110000420