Habari RFI-Ki

Miaka 100 ya radio umuhimu wa chombo kwa msikilizaji wetu

Sauti 10:02
Mtangazaji Laurent Sadoux katika matangazo ya mchana moja kwa moja kutoka jijini Paris «Afrique Midi» kupitia idhaa ya kifaransa ya RFI
Mtangazaji Laurent Sadoux katika matangazo ya mchana moja kwa moja kutoka jijini Paris «Afrique Midi» kupitia idhaa ya kifaransa ya RFI © RFI/Christophe Carmarans

Mwaka 1921, chombo kipya cha Radio kilizaliwa, karne moja baadaye Radio hii haina mfano wake imebaki kuwa ni chombo kinachokuhabarisha, kukuburudisha, na kukupa nafasi ya kujieleza. Fursa ya kutuambia kumbukumbu zako kwa radio Hii. Msikilizaji, Je ? Redio hii imechangia chochote kwa maendeleo ya nchi yako? Inachukua nafasi gani katika maisha yako ya kila siku?