Habari RFI-Ki

Umepokea chanjo ya corona nchini mwako

Sauti 10:00
Mhudumu wa afya akipokea chanjo ya Covid 19 katika Hospitali nchini Sudan
Mhudumu wa afya akipokea chanjo ya Covid 19 katika Hospitali nchini Sudan © AFP - Phill Magakoe

Mataifa mengi barani Afrika, yanakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizi ya Covid 19, huku Shirika la afya duniani WHO, likitaka utoaji wa chanjo kuendelea licha ya baadhi ya raia kuonekana kutoziamini.Unazungumzia vipi hali hii ? Nchi yako inatekeleza vipi mpango wa utoaji chanjo ?