Habari RFI-Ki

Kusitisha kwa mapigano Tigray Ethiopia kutadumu?

Sauti 10:00
Mkaazi aliyejeruhiwa wa kombora, kijiji kilicho karibu kilomita 20 magharibi mwa Mekele, amebebwa kwa machela kwenda hospitali ya rufaa ya Ayder huko Mekele, mji mkuu wa mkoa wa Tigray, Ethiopia, mnamo Juni 23, 2021,  (Picha na Yasuyoshi CHIBA / AFP)
Mkaazi aliyejeruhiwa wa kombora, kijiji kilicho karibu kilomita 20 magharibi mwa Mekele, amebebwa kwa machela kwenda hospitali ya rufaa ya Ayder huko Mekele, mji mkuu wa mkoa wa Tigray, Ethiopia, mnamo Juni 23, 2021, (Picha na Yasuyoshi CHIBA / AFP) AFP - YASUYOSHI CHIBA

Jeshi la Ethiopia baada ya kujiondoa kwenye jimbo la Tigray, linasema wapiganaji wa jimbo hilo sasa sio tishio tena, lakini wapiganaji hao wameapa kuendelea kupambana na jeshi la Ethiopia na washirika wake.Je, unafikiri hatua ya kusitisha vita katika jimbo la Tigray itadumu?Unahisi Jumuiya ya Kimataifa imehusika kikamifu kwenye mzozo huu?Haya hapa baadhi ya maoni yako