Kuanza kwa Michezo ya Olimpiki jijini Tokyo nchini Japan

Sauti 09:42
Mkimbiza baiskeli Richard Carapaz mshindi wa dhababu katika mashindano ya kukimbiza baiskeli jijini Tokyo nchini Japan Julai 23 2021
Mkimbiza baiskeli Richard Carapaz mshindi wa dhababu katika mashindano ya kukimbiza baiskeli jijini Tokyo nchini Japan Julai 23 2021 Jeff PACHOUD AFP

Michezo iliyocheleweswa ya Olimpiki kutokana na janga la Covid 19 inafungua milango yake jijini Tokyo nchini Japan, nini thathmini yako na matarajio yako ?