Sintofahamu ya kumpata Mwenyekiti mpya wa Tume ya Uchaguzi nchini DRC

Sauti 09:58
Picha ya mafundi wakiandika jina la Tume ya Uchaguzi nchini DRC CENI
Picha ya mafundi wakiandika jina la Tume ya Uchaguzi nchini DRC CENI Caroline Thirion / AFP

Nchini DRC, wakati huu uchaguzi mkuu wa 2023 ukikaribia, uteuzi wa rais wa tume ya kitaifa ya uchaguzi CENI umeibua mgawanyiko hasa miongoni mwa viongozi wa kidini.Unadhani makanisa ya Katoliki na Kiprotestanti ndio chanzo cha mgawanyiko huu?Unadhani rais Tshisekedi ana mchango katika uteuzi wa rais wa CENI?Ni kwa kiwango gani tume ya uchaguzi nchini mwako iko huru?