Habari RFI-Ki

Kurejeshwa madarakani kwa Abdalla Hamdock nchini Sudan

Imechapishwa:

Waziri mkuu wa Sudan aliyekuwa amepinduliwa , na kuzuiliwa nyumbani ,amerejeshwa kwenye nafasi yake baada ya uongozi wa jeshi kusaini mkataba naye.Je unazungumziaje hatua hiyo ya uongozi wa kijeshi ?Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Waziri mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdock
Waziri mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdock ASHRAF SHAZLY / AFP
Vipindi vingine
 • Image carrée
  09/06/2023 10:03
 • Image carrée
  06/06/2023 09:32
 • Image carrée
  05/06/2023 09:53
 • Image carrée
  02/06/2023 09:30
 • Image carrée
  01/06/2023 09:30