Habari RFI-Ki
Serikali ya Kenya, kuwanyima huduma raia ambao hawajapata chanjo ya Covid 19.
Imechapishwa:
Cheza - 10:01
Wakenya ambao hawatachukua chanjo ya Covid 19, kufikia tarehe 21 mwezi ujao hawataweza kupata huduma zozote za serikali na pia za usafiri.Je, wewe umepokea chanjo?Haya hapa baadhi ya maoni yenu.