Habari RFI-Ki

Tanzania - Wasichana waliojifungua kurejea shuleni

Imechapishwa:

Serikali ya Tanzania imetangaza rasmi kuwaruhusu wanafunzi waliokatiza masomo yao kwa kwasababu ya kupata ujauzito wakiwa shuleni kurejea masomoni kinyume na mfumo wa awali.Nini maoni yako kuhusiana na swala hili?Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Afrika Magharibi inashuhudia kiwango kikubwa cha 
wasichana wanaoingia kwenye ndoa za mapema kabla ya umri wa miaka 15.
Afrika Magharibi inashuhudia kiwango kikubwa cha wasichana wanaoingia kwenye ndoa za mapema kabla ya umri wa miaka 15. AFP