Juhudi za madaktari na wanaharakati kukomesha ukeketaji

Sauti 10:00
Vifaa vya asili ambavyo vinatumika kwa ajili ya kufanyia wanawake ukeketaji vyote vikiwa ni venye ncha kali
Vifaa vya asili ambavyo vinatumika kwa ajili ya kufanyia wanawake ukeketaji vyote vikiwa ni venye ncha kali © REUTERS/Yves Herman

Kwa mjibu wa shirika la umoja wa mataifa UN, msichana au mwanake moja kati ya 4 huwa amekeketwa kwa kutumia za njia za kiasili au hata wengine hukeketwa na watalaam wa afya wasiozingatia maadili.Madaktari na wanaharakati wanasisitiza katika makala haya ya juhudi zaidi kufanywa ili kukomesha ukeketaji, ambao bado baadhi ya jamii za kiafrica zinaendeleza, licha ya madhara yake kwa wanawake na wasichana