Hukumu ya kifo bado inatekelezwa na mataifa kadhaa

Sauti 09:55
watuhumiwa wa hukumu ya kifo
watuhumiwa wa hukumu ya kifo AFP - HANDOUT

Katika Makala ya Jua Haki Zao, juma hili tunaangazia hukumu ya kifo ambayo bado mataifa mengi duniani yanatelekeza hukumu hiyo, hapa tunajadili umuhimu wa maisha kwa mjibu wa maandiko matakatifu na sheria za kimataifa kuhusu hukumu hii ya kifo.Tangu mapema miaka ya 60, wanaharakati katika mataifa mbali tayari walikuwa wameanza harakati za kushinikiza kuondolewa kwa hukumu ya Kifo, wengi wakidai hukumu hiyo inakiuka haki ya kimsingi ya binadamu kuishi.