Je wakimbizi wa haki? skiza makala haya

Sauti 09:55
Wakimbizi wa Eritrean katika kambi ya Kassala, mashiriki mwa  Sudan,   22/ 10/ 2015.
Wakimbizi wa Eritrean katika kambi ya Kassala, mashiriki mwa Sudan, 22/ 10/ 2015. AFP PHOTO / ASHRAF SHAZLY

Shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR, limeeleza kuguswa na visa vya  mamlaka nchini Tanzania, kuwazuia wakimbizi na watafuta hifadhi wanaokimbia mashambulizi ya wanajihadi eneo la Cabo Delgado nchini Musumbiji kuingia nchini Tanzania.Kwa mjibu wa UNHCR ni kwamba wakimbizi 1,500 walazimika kurejea katika eneo la mapigano hali ambayo imetajwa kuwa ya kusikitisha sana.Katika makala haya nitazungumza na wakili Ojwang Agina kutoka nchini Kenya mbaye anafafanua kuhusiana na haki za wakimbizi.