Jua Haki Zako

Idadi kubwa ya wakenya hawafahamu nia ya serikali kutaka kufanyia katiba marekebisho

Imechapishwa:

katika Makala haya tunajikita  nchini Kenya ambapo mchakato mzima wa kufanyia katiba marekebisho umekwama kutokana na hatua ya mahakama kuu nchini humo kusimamisha mchakato huo  kwa msingi kuwa wanzilishi wa mchakato huo rais Uhuru Kenyatta, na kingozi wa upinzani Raila Odinga, hakufuata sheria wakati wakianzisha mchakato huo.Benson Wakoli amelizamia swala hili katika makala haya

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta,kushoto na kinara wa upinzani Raila Odinga
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta,kushoto na kinara wa upinzani Raila Odinga © afp