Haki za wanajumuiya Afrika Mashariki

Sauti 09:59
Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki ambao watakutana mwishoni mwa juma jijini Dar es Salaam mwaka 2019
Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki ambao watakutana mwishoni mwa juma jijini Dar es Salaam mwaka 2019 http://eac.int/

Wiki hii tunaangazia haki za wananchi kutoka mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na tunathathmini Jumuiya hiyo kwa kina.