Uchaguzi wa CAF mwezi Machi, fainali ya soka kwa vijana nchini Mauritania

Sauti 20:50
Mechi ya robo fainali kati ya Uganda na Msumbiji kuwania taji la vijana wasiozidi miaka 20 nchini Mauritania.
Mechi ya robo fainali kati ya Uganda na Msumbiji kuwania taji la vijana wasiozidi miaka 20 nchini Mauritania. © Cortesia CAF

Wiki hii, tunaangazia kwa kina kuhusu maandalizi ya uchaguzi wa rais wa Shirikisho la soka barani Afrika, fainali ya vijana kuwania taji la vijana wasiozidi miaka 20 nchini Mauritania, miongoni mwa matukio mengi yaliyotokea viwanjani wiki hii.